Published By Said Al Habsy  Yafuatayo ni mambo ambayo yakifanywa au yakitokea yana haribu adhana na iqama kama ifuatavyo:
(i).Kupoteza akili.
(ii).Kutoka katika Uisilamu wakati wa kuadhini.
(iii)Kuzungumza au kufanya vitendo vichafu.
(iii). Kutokufuata mpangilio wa adhana kama ilivyokuja. |