Published By Said Al Habsy  Matamshi ya iqama ni mara mbili mbili kama vile yalivyo matamshi ya adhana. Hadithi iliyo hadithiwa na Abi Said Al-Khudhry R.A.A. kasema, “Kasema Mtume S.A.W.,
وَالأَذَانُ مَثْنَى مَثْنَى، وَالإِقَامَةُ مَثْنَى مَثْنَى.
Maana yake, “Na adhana ni mara mbili mbili, na iqama ni mara mbili mbili”.
|