Ibadhi.com

DUA YA LEO-RAMADHANI-2

DUA YA LEO-2


اللهم قربنا فيه الى مرضاتك ، وجنبنا فيه من سخطك ونقماتك ، و وفقنا فيه لقرائة اياتك ، برحمتك يا أرحم الراحمين

Twakuomba Yaa Allah  ndani ya Ramadhani tukurubishe katika (kuyatenda uyaridhiayo) na uturidhie, tukinge ewe Mola wetu na hasira zako na naqama zako, na utuafikishe (utupe uwezo) wa kuzisoma aya zako kwa rehma au huruma zako ewe mbora wa kurehemu.


TWAKUOMBA YAA RABBI ZIKUBALI FUNGA ZETU VISIMAMO VYETU NA JUMLA YA AMALI ZETU.

Said Al Habsy

Website: https://www.ibadhi.com Email Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona.
Add comment