Ibadhi.com

MASHEIK WAKE

MASHEIK WAKE.

Abu Sha'athaa Jabir bin Zayd

Suhaar Al-Abdi

Ja'afar bin Al-Simaak

Dhumam bin Al-Saaib

Salih Al-Dahhaan

Ammara bin Hayyan

Imamu Abu Ubayda alisifika kwamba ni mtu katika Umma na alikuwa yeye mmoja ni sawa na Umma mzima, (كان رجلا في أمة، وأمة في رجل) alikushanya ilmu ya Fiqhi na Riwaya na Siasa, na aliweza kusimisha Dola tatu za Kiislamu zenye kufata misingi ya Kisheria katika zama zake, ya kwanza katika mji wa Hadhramaut (Yemen) iliyokuwa chini ya Uongozi wa Taalibu Al-Haqqi Al-Imamu Abdallah bin Yahya Al-Kindi, na Dola nyengine ni Oman iliyoongozwa na Al-Julanda bin Massuod, na ya tatu katika nchi za magharibi ya Afrika (Bilaadu Al-Maghrib) iliyoongozwa na Abu Al-Khattab Al-Ma'aafiri

Said Al Habsy

Website: https://www.ibadhi.com Email Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona.
Add comment