Ibadhi.com

IMAM ABU UBAYDA MUSLIM BIN ABI KARIMA AL-TAMIMIY

IMAM ABU UBAYDA MUSLIM BIN ABI KARIMA AL-TAMIMIY

Imamu Abu Ubayda Muslim bin Abi Karima Al-Tamimiy Al-Bisriy: Ni katika Matabiina na ni Kigezo, na ni katika wanafunzi vigogo wa Imamu Jabir bin Zayd Abu Al-Sha'athaa, Abu Ubayda kadiriki baadhi ya Masahaba na kapokea kutoka kwao baadhi ya Hadithi kama ilivyo wazi kauli yake katika baadhi ya aliyopokea kwake Al-Imamu Al-Rabiu bin Habib katika Musnad. Kuna tafauti kuhusu tarehe ya kuzaliwa kwake , na hili si geni bali ni maarufu katika uwanja huu wa Taarikh (Historia), lakini Sheikh Al-Qannubi anaona kuwa lililosahihi ni kuwa Imamu Abu Ubayda Muslim bin Abi karima kazaliwa mwaka 45H na kafariki katika mwaka 150 taqriban.

Said Al Habsy

Website: https://www.ibadhi.com Email Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona.
Add comment