Ibadhi.com

LEO KATIKA FUNGA-5

 
Allah  ﷻ Anasema:

{يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا كُتِبَ عَلَيْكُمُ الصِّيَامُ كَمَا كُتِبَ عَلَى الَّذِينَ مِنْ قَبْلِكُمْ لَعَلَّكُمْ تَتَّقُونَ}

Enyi mlio amini! Mmeandikiwa Saumu, kama waliyo andikiwa walio kuwa kabla yenu ili mpate kuchamngu. (2:183)
LEO TENA KATIKA DARSA YETU SEHEMU YA TANO, IN SHA ALLAH TUTAANGALIA AU KUITAFUTA HEKMA YA KUJA AYA YA DUAA BAADA YA AYA ZA FUNGA
.
لماذا وضع الله آية الدعاء بين آيات الصيام؟
KWA NINI ALLAH MTUKUFU AMEWEKA AYA YA DUAA BAINA YA AYA ZA FUNGA?
 
 لم وضعت الآية: ﴿ وَإِذَا سَأَلَكَ عِبَادِي عَنِّي فَإِنِّي قَرِيبٌ أُجِيبُ دَعْوَةَ الدَّاعِ إِذَا دَعَانِ فَلْيَسْتَجِيبُوا لِي وَلْيُؤْمِنُوا بِي لَعَلَّهُمْ يَرْشُدُونَ 

KWA NINI IMEWEKWA AYA HII?
Na waja wangu watakapo kuuliza khabari zangu, waambie kuwa Mimi nipo karibu. Naitikia maombi ya mwombaji anapo niomba. Basi na waniitikie Mimi, na waniamini Mimi, ili wapate kuongoka. 
[البقرة: 186]، الآية
 
 والتي قبلها: ﴿ شَهْرُ رَمَضَانَ الَّذِي أُنْزِلَ فِيهِ الْقُرْآنُ هُدًى لِلنَّاسِ وَبَيِّنَاتٍ مِنَ الْهُدَى وَالْفُرْقَانِ ﴾ الآية.
NA AMBAYO IPO KABLA YAKE:
Mwezi wa Ramadhani ambao imeteremshwa humo Qur'ani kuwa ni uwongofu kwa watu, na hoja zilizo wazi za uwongofu na upambanuzi.
 
 والآية التي بعدها: ﴿ أُحِلَّ لَكُمْ لَيْلَةَ الصِّيَامِ الرَّفَثُ إِلَى نِسَائِكُمْ 
NA AMBAYO IPO BAADA YAKE:
Mmehalalishiwa usiku wa Saumu kuingiliana na wake zenu.
 
 فلماذا جاءت بين الآيتين آية الدعاء؟

BASI KWANINI NA IPI HEKMA YA KUJA BAINA YA AYA MBILI IKAJA AYA YA DUAA?
IN SHA ALLAH TUTAENDELEA NAYO KATIKA DARSA YA SITA.

ALLAH MTUKUFU: TWAKUOMBA UZIKUBALI FUNGA ZETU NA QIYAMU ZETU, PIA NA BAKI YA IBADA ZETU.
Said Al Habsy

Website: https://www.ibadhi.com Email Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona.
Add comment