Ibadhi.com

LEO KATIKA FUNGA-3

Allah  ﷻ Anasema:
{يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا كُتِبَ عَلَيْكُمُ الصِّيَامُ كَمَا كُتِبَ عَلَى الَّذِينَ مِنْ قَبْلِكُمْ لَعَلَّكُمْ تَتَّقُونَ}

Enyi mlio amini! Mmeandikiwa Saumu, kama waliyo andikiwa walio kuwa kabla yenu ili mpate kuchamngu. (2:183)

"""""""""""""""""""""""""""""""""""""""
LEO KATIKA FUNGA YAKO, TUNAENDELEA NA DARSA YETU SEHEUMU YA TATU IN SHA ALLAH.
 فلماذا جاء الصيام بين الإيمان والتقوى؟

JE, KWANINI IMEKUJA FUNGA BAINA YA IMANI NA TAQWA?
 
 الإيمان أوَّلاً، والصيام ثانيًا، والتقوى ثالثا

KWANZA IMANI, PILI FUNGA, TATU TAQWA. JE KWANINI?
 
 ولكي نُجيب عن هذا السؤال لا بدَّ لنا أن نسأل سؤالين اثنين:
 
NA ILI TUWEZE KUJIBU SUALA HILI, BASI HAPANA BUDI KWANZA KUJIULIZA MAS ALA MAWILI.
 
 ما هو الإيمان؟ وما هي التقوى؟

NINI IMANI? NA NINI TAQWA?
 
 ثم نسأل سؤالاً ثالثًا: ما محلّ الإيمان وما محل التقوى؟

KISHA TUJIULIZE SUALA LA TATU: WAPI MAHALA PA IMANI?
 
 أمَّا الإيمان فهو أن نؤمن بكل ما جاء به نبيُّنا محمَّد - صلَّى الله عليه وسلَّم.

AMA IMANI NI- KUAMINI YOOTE ALIYO KUJA KWAYO MTUME WETU MUHAMMAD(ﷺ)
 
 وكلِمة الإيمان هنا معناها التَّصديق.
NA NENO IMANI HAPA, MAANA YAKE NI KUSADIKI.
 
JE KUSADIKI NINI?
التَّصديق بكل ما جاء به سيِّد الرسل؛ أن نؤمِن بالله وملائكته وكتُبه ورسله واليوم الآخر، وبالقدر خيره وشره، هذا هو الإيمان.
 
KUSADIKI YOOTE ALIYO KUJA KWAYO BWANA WA MITUME.
TUMUAMINI ALLAH, MALAIKA WAKE, VITABU VYAKE, MITUME WAKE, NA SIKU YA MWISHO, NA QADAR- KHERI ZAKE NA SHARI ZAKE.
HII NDIO MAANA YA IMANI.
 
Allah  ﷻ Anasema:
﴿ آمَنَ الرَّسُولُ بِمَا أُنْزِلَ إِلَيْهِ مِنْ رَبِّهِ وَالْمُؤْمِنُونَ كُلٌّ آمَنَ بِاللَّهِ وَمَلائِكَتِهِ وَكُتُبِهِ وَرُسُلِهِ لا نُفَرِّقُ بَيْنَ أَحَدٍ مِنْ رُسُلِهِ وَقَالُوا سَمِعْنَا وَأَطَعْنَا غُفْرَانَكَ رَبَّنَا وَإِلَيْكَ الْمَصِيرُ ﴾
 
Mtume ameamini yaliyo teremshwa kwake kutoka kwa Mola Mlezi wake, na Waumini vile vile. Wote wamemuamini Mwenyezi Mungu, na Malaika wake, na Vitabu vyake na Mitume wake. Hatutafautishi baina ya yeyote katika Mitume wake, na (Waumini) husema: Tumesikia na tumet'ii. Tunakutaka maghfira Mola Mlezi wetu! Na marejeo ni kwako.   [البقرة: 285]
 
 ومحل الإيمان - القلب.
 
NA MAHALA PA IMANI NI MOYONI.
 Allah  ﷻ Anasema:
 
{لَا تَجِدُ قَوْمًا يُؤْمِنُونَ بِاللَّهِ وَالْيَوْمِ الْآخِرِ يُوَادُّونَ مَنْ حَادَّ اللَّهَ وَرَسُولَهُ وَلَوْ كَانُوا آبَاءَهُمْ أَوْ أَبْنَاءَهُمْ أَوْ إِخْوَانَهُمْ أَوْ عَشِيرَتَهُمْ ۚ أُولَٰئِكَ كَتَبَ فِي قُلُوبِهِمُ الْإِيمَانَ وَأَيَّدَهُمْ بِرُوحٍ مِنْهُ ۖ وَيُدْخِلُهُمْ جَنَّاتٍ تَجْرِي مِنْ تَحْتِهَا الْأَنْهَارُ خَالِدِينَ فِيهَا ۚ رَضِيَ اللَّهُ عَنْهُمْ وَرَضُوا عَنْهُ ۚ أُولَٰئِكَ حِزْبُ اللَّهِ ۚ أَلَا إِنَّ حِزْبَ اللَّهِ هُمُ الْمُفْلِحُونَ}
 
Huwakuti watu wanao muamini Mwenyezi Mungu na Siku ya Mwisho kuwa wanawapenda wanao mpinga Mwenyezi Mungu na Mtume wake, hata wakiwa ni baba zao, au watoto wao, au ndugu zao, au jamaa zao. Hao ameandika katika nyoyo zao Imani, na amewapa nguvu kwa Roho itokayo kwake. Na atawaingiza katika Mabustani yapitayo mito kati yake. Humo watakaa daima. Mwenyezi Mungu awe radhi nao, na wao wawe radhi naye. Hao ndio Hizbullahi, Kundi la Mwenyezi Mungu. Hakika Kundi la Mwenyezi Mungu ndilo lenye kufanikiwa. (58:22)
 
HII NDIO MAANA YA IMANI NA MOYONI NDIO MAHALA PAKE.
 
JE NINI TAQWA NA WAPI MAHALA PAKE.?
TUTAENDELEA SEHEMU YA NNE IN SHA ALLAH.
 
ALLAH MTUKUFU: TWAKUOMBA UZIKUBALI FUNGA ZETU NA QIYAMU ZETU, PIA NA BAKI YA IBADA ZETU.LEO KATIKA FUNGA { 3 }
 
Allah  ﷻ Anasema:
{يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا كُتِبَ عَلَيْكُمُ الصِّيَامُ كَمَا كُتِبَ عَلَى الَّذِينَ مِنْ قَبْلِكُمْ لَعَلَّكُمْ تَتَّقُونَ}

Enyi mlio amini! Mmeandikiwa Saumu, kama waliyo andikiwa walio kuwa kabla yenu ili mpate kuchamngu. (2:183)
 
LEO KATIKA FUNGA YAKO, TUNAENDELEA NA DARSA YETU SEHEUMU YA TATU IN SHA ALLAH.
 
 فلماذا جاء الصيام بين الإيمان والتقوى؟

JE, KWANINI IMEKUJA FUNGA BAINA YA IMANI NA TAQWA?
 
 الإيمان أوَّلاً، والصيام ثانيًا، والتقوى ثالثا
 
KWANZA IMANI, PILI FUNGA, TATU TAQWA. JE KWANINI?
 
 ولكي نُجيب عن هذا السؤال لا بدَّ لنا أن نسأل سؤالين اثنين:

NA ILI TUWEZE KUJIBU SUALA HILI, BASI HAPANA BUDI KWANZA KUJIULIZA MAS ALA MAWILI.
 
 ما هو الإيمان؟ وما هي التقوى؟
 
NINI IMANI? NA NINI TAQWA?
 
 ثم نسأل سؤالاً ثالثًا: ما محلّ الإيمان وما محل التقوى؟
 
KISHA TUJIULIZE SUALA LA TATU: WAPI MAHALA PA IMANI?
 
 أمَّا الإيمان فهو أن نؤمن بكل ما جاء به نبيُّنا محمَّد - صلَّى الله عليه وسلَّم.

AMA IMANI NI- KUAMINI YOOTE ALIYO KUJA KWAYO MTUME WETU MUHAMMAD(ﷺ)
 
 وكلِمة الإيمان هنا معناها التَّصديق
.
NA NENO IMANI HAPA, MAANA YAKE NI KUSADIKI.
 
JE KUSADIKI NINI?
 
التَّصديق بكل ما جاء به سيِّد الرسل؛ أن نؤمِن بالله وملائكته وكتُبه ورسله واليوم الآخر، وبالقدر خيره وشره، هذا هو الإيمان.
 
KUSADIKI YOOTE ALIYO KUJA KWAYO BWANA WA MITUME.
TUMUAMINI ALLAH, MALAIKA WAKE, VITABU VYAKE, MITUME WAKE, NA SIKU YA MWISHO, NA QADAR- KHERI ZAKE NA SHARI ZAKE.
 HII NDIO MAANA YA IMANI.
 
Allah  ﷻ Anasema:
﴿ آمَنَ الرَّسُولُ بِمَا أُنْزِلَ إِلَيْهِ مِنْ رَبِّهِ وَالْمُؤْمِنُونَ كُلٌّ آمَنَ بِاللَّهِ وَمَلائِكَتِهِ وَكُتُبِهِ وَرُسُلِهِ لا نُفَرِّقُ بَيْنَ أَحَدٍ مِنْ رُسُلِهِ وَقَالُوا سَمِعْنَا وَأَطَعْنَا غُفْرَانَكَ رَبَّنَا وَإِلَيْكَ الْمَصِيرُ ﴾
Mtume ameamini yaliyo teremshwa kwake kutoka kwa Mola Mlezi wake, na Waumini vile vile. Wote wamemuamini Mwenyezi Mungu, na Malaika wake, na Vitabu vyake na Mitume wake. Hatutafautishi baina ya yeyote katika Mitume wake, na (Waumini) husema: Tumesikia na tumet'ii. Tunakutaka maghfira Mola Mlezi wetu! Na marejeo ni kwako.   [البقرة: 285]
 
 ومحل الإيمان - القلب.

NA MAHALA PA IMANI NI MOYONI.
 Allah  ﷻ Anasema:
 
{لَا تَجِدُ قَوْمًا يُؤْمِنُونَ بِاللَّهِ وَالْيَوْمِ الْآخِرِ يُوَادُّونَ مَنْ حَادَّ اللَّهَ وَرَسُولَهُ وَلَوْ كَانُوا آبَاءَهُمْ أَوْ أَبْنَاءَهُمْ أَوْ إِخْوَانَهُمْ أَوْ عَشِيرَتَهُمْ ۚ أُولَٰئِكَ كَتَبَ فِي قُلُوبِهِمُ الْإِيمَانَ وَأَيَّدَهُمْ بِرُوحٍ مِنْهُ ۖ وَيُدْخِلُهُمْ جَنَّاتٍ تَجْرِي مِنْ تَحْتِهَا الْأَنْهَارُ خَالِدِينَ فِيهَا ۚ رَضِيَ اللَّهُ عَنْهُمْ وَرَضُوا عَنْهُ ۚ أُولَٰئِكَ حِزْبُ اللَّهِ ۚ أَلَا إِنَّ حِزْبَ اللَّهِ هُمُ الْمُفْلِحُونَ}
 
Huwakuti watu wanao muamini Mwenyezi Mungu na Siku ya Mwisho kuwa wanawapenda wanao mpinga Mwenyezi Mungu na Mtume wake, hata wakiwa ni baba zao, au watoto wao, au ndugu zao, au jamaa zao. Hao ameandika katika nyoyo zao Imani, na amewapa nguvu kwa Roho itokayo kwake. Na atawaingiza katika Mabustani yapitayo mito kati yake. Humo watakaa daima. Mwenyezi Mungu awe radhi nao, na wao wawe radhi naye. Hao ndio Hizbullahi, Kundi la Mwenyezi Mungu. Hakika Kundi la Mwenyezi Mungu ndilo lenye kufanikiwa. (58:22)
 
HII NDIO MAANA YA IMANI NA MOYONI NDIO MAHALA PAKE.
JE NINI TAQWA NA WAPI MAHALA PAKE.?
TUTAENDELEA SEHEMU YA NNE IN SHA ALLAH.
 
ALLAH MTUKUFU: TWAKUOMBA UZIKUBALI FUNGA ZETU NA QIYAMU ZETU, PIA NA BAKI YA IBADA ZETU.
Said Al Habsy

Website: https://www.ibadhi.com Email Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona.
Add comment