Ibadhi.com

2. Kubaleghe na kuwa na akili timamu.

Kubaleghe na kuwa na akili timamu ni sharti ya lazima kukubalika ibada ya Salaa. Kasema Bibi Aisha R.A.A.H., "Kasema Mtume S.A.W.,[1]

رُفِعَ الْقَلَمُ عَنْ ثَلاثَةٍ عَنْ النَّائِمِ حَتَّى يَسْتَيْقِظَ وَعَنْ الصَّغِيرِ حَتَّى يَكْبَرَ وَعَنْ الْمَجْنُونِ حَتَّى يَعْقِلَ.

Maana yake, “Wamesamehewa watu wa aina tatu: aliyelala mpaka aamke, na mtoto mdogo mpaka abaleghe na mwehu mpaka akili zirudi.”

 [1] Ibn Maajah 6/212 (2031), mfano hio imetolewa na Abu Daawud 11/478 (3822), Bukhaari 16/315, Ahmad 3/128 (1122).

Said Al Habsy

Website: https://www.ibadhi.com Email Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona.
Add comment