Ibadhi.com

I. Kuwa muisilamu.

Mwadhini kwa ajili ya kujulisha wakati wa Salaa ni lazima awe ni muislamu, mwanamume mwenye akili timamu. Kwani haijuzu adhana kwa asie kuwa muisilamu wala kwa mwanamke.

Said Al Habsy

Website: https://www.ibadhi.com Email Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona.
Add comment