Ibadhi.com

8. JEE! IBADHI.COM IMETAYARISHWA KWA KUPIGA VITA MADHEHEBU NYENGINE ZA KIISLAMU?

IBADHI.com haijaanzishwa kupiga vita Madhehebu yoyote ya Kiislamu wala kuleta himizo la chuki na kasumba katika Jamii, hayo si mafundisho ya chuo hichi cha Kiislamu wala malengo yake.

IBADHI.com imeanzishwa kwa kuelimisha Jamii inayozungumza Kiswahili kupitia chuo cha Madhehebu ya Ibadhi, na msingi wake ni HAKI KWA DALILI, basi hatuna kinyongo kukubali haki kutokea Madhehebu yoyote yale.

Na  hayo ni baada ya kupata maombi ya Waumini kutoka mataifa mbali mbali hususan mataifa ya Afrika na Ulaya.

Asanteni.

Sh. Hafidh Al-Sawafi

Website: ibadhi.com Email Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona.
Add comment