Ibadhi.com

Unasemaje Mstahiwa Sheikh kukhusu rakaa mbili ambazo husaliwa baada ya Ijumaa je tuzinuie sunna ya Ijumaa au sunna ya adhuhuri?

Unasemaje Mstahiwa Sheikh kukhusu rakaa mbili ambazo husaliwa baada ya Ijumaa je tuzinuie sunna ya Ijumaa au sunna ya adhuhuri?

Rakaa mbili hizo ni sunna kwa kauli mashuhuri, na kwa kuwa rakaa mbili hizo ni baada ya Ijumaa basi hizo ni sunna ya Ijumaa, na siyo sunna ya adhuhuri. Na Allah anajua zaidi.

Said Al Habsy

Website: https://www.ibadhi.com Email Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona.
Add comment