Ibadhi.com

Amesali mtu alichodiriki na akalipa kilichomfutu katika sala ya Ijumaa, na hakusikiliza khutba, je arudie fardhi ya adhuhuri ama la?

Amesali mtu alichodiriki na akalipa kilichomfutu katika sala ya Ijumaa, na hakusikiliza khutba, je arudie fardhi ya adhuhuri ama la?

Akiwahi rakaa moja kamili atasali rakaa nyengine na hilo litamtosheleza. Na akiwahi chini ya rakaa moja atasali alichodiriki, kisha atakamilisha kilichobaki katika rakaa nne. Na Allah anajua zaidi.

Said Al Habsy

Website: https://www.ibadhi.com Email Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona.
Add comment