Ibadhi.com

Nini hukumu iwapo mtu amesali sala ya Ijumaa kwa nia ya kuwa ni sunna akiwa hajui hukumu ya kuwajibika kwa sala hiyo?

Nini hukumu iwapo mtu amesali sala ya Ijumaa kwa nia ya kuwa ni sunna akiwa hajui hukumu ya kuwajibika kwa sala hiyo?

Inamlazimu airudie sala hiyo kwa kuisali badala yake adhuhuri rakaa nne, kwani Ijumaa haisihi akiinuia sunna, na inamlazimu toba kwa Allah Subhana Wataala kwa kuto kulijuwa lanalomwajibikia. Na Allah anajua zaidi.

Said Al Habsy

Website: https://www.ibadhi.com Email Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona.
Add comment