Ibadhi.com

Mstahiwa Sheikh: nini hukumu ya kusali nafla katikati ya mchana wakati jua likiwa katikati ya mbingu na hilo ni katika siku ya Ijumaa?

Mstahiwa Sheikh: nini hukumu ya kusali nafla katikati ya mchana wakati jua likiwa katikati ya mbingu na hilo ni katika siku ya Ijumaa?

Inakatazwa kusali katikati ya mchana linapokuwa jua katikati ya mbingu, na hilo ni katika joto kali, lakini inatolewa katika katazo hilo siku ya Ijumaa – kwa kuwa sunna imeonesha hivyo – na hikima ya katazo hilo kwamba ukali wa joto unatokana na vukuto la jahannamu – Allah atulinde – na katika siku ya Ijumaa vukuto hili hupoa. Na Allah anajua zaidi.

Said Al Habsy

Website: https://www.ibadhi.com Email Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona.
Add comment