Ibadhi.com

Unasemaje kukhusu maamuma iwapo wataitikia 'aamin’ kwa dua ya imamu katika khutba ya Ijumaa ?

Unasemaje kukhusu maamuma iwapo wataitikia 'aamin’ kwa dua ya imamu katika khutba ya Ijumaa ?

Maulama wamekhitalifiana kukhusu kuitikia 'aamin’ kwa dua ya khatibu katika khutba ya Ijumaa, na kauli tunayoichagua ni kujuzu hilo, lakini aula kuto kunyanyua sauti. Na Allah anajua zaidi.

Said Al Habsy

Website: https://www.ibadhi.com Email Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona.
Add comment