Ibadhi.com

Nini hukumu ya kusali adhuhuri jamaa siku ya Ijumaa, kwasababu ya mtu kutokuiwahi Ijumaa bila kukusudia ?

Nini hukumu ya kusali adhuhuri jamaa siku ya Ijumaa, kwasababu ya mtu kutokuiwahi Ijumaa bila kukusudia ?

Ikiwa huko kuwacha kuhudhuria Ijumaa ni kwa dharura isiyo budi hawakatazwi kusali sala ya adhuhuri jamaa kwa sharti hilo lisipelekee kudharau sala ya Ijumaa. Na Allah anajua zaidi.

Said Al Habsy

Website: https://www.ibadhi.com Email Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona.
Add comment