Ibadhi.com

Nini hukumu ya kusali Ijumaa katika hali ya kujumuika Ijumaa na idi ?

Nini hukumu ya kusali Ijumaa katika hali ya kujumuika Ijumaa na idi ?

Sala ya Ijumaa ni fardhi, na sala ya idi ni sunna, na sunna haiondoshi fardhi, na kwa hiyo hapana budi na kusali Ijumaa hata kama imesudufia siku ya idi, hii ndiyo kauli yenye nguvu. Na Allah anajua zaidi.

Said Al Habsy

Website: https://www.ibadhi.com Email Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona.
Add comment