Ibadhi.com

Nini kauli yenu kukhusu aliyekuwa na uwezo wa kwenda inakosaliwa Ijumaa katika mji ambamo inasaliwa na hakwenda, akasali adhuhuri kwa kuwasalisha walio pamoja nae, nini hukumu ya sala yao wote?

Nini kauli yenu kukhusu aliyekuwa na uwezo wa kwenda inakosaliwa Ijumaa katika mji ambamo inasaliwa na hakwenda, akasali adhuhuri kwa kuwasalisha walio pamoja nae, nini hukumu ya sala yao wote ?

Aliyekuwa na uwezo wa kwenda inakosaliwa Ijumaa katika mji ambamo inasaliwa na hakwenda, na akasali adhuhuri, basi hana sala yeye wala waliosali nyuma yake. Na Allah anajua zaidi.

Said Al Habsy

Website: https://www.ibadhi.com Email Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona.
Add comment