Ibadhi.com

Nini kauli yenu kukhusu sala ya Ijumaa, inasaliwa katika kambi ya Murtafaat na inasaliwa katika misikiti miwili, na baina ya misikiti hii miwili kuna masafa ya dakika tano kwa gari au chini ya hapo, je isaliwe ama la?

Isaliwe katika msikiti mmoja kati ya misikiti hiyo miwili, na ulio aula kwa hilo ni wenye wasaa zaidi, na isisaliwe Ijumaa zaidi ya msikiti mmoja katika mji pasina haja. Na Allah anajua zaidi.

Said Al Habsy

Website: https://www.ibadhi.com Email Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona.
Add comment