Ibadhi.com

Idadi ya wanaume katika mji wetu inafika wanaume thalathini, je tunaweza kusimamisha Ijumaa humo ?

Idadi ya wanaume katika mji wetu inafika wanaume thalathini, je tunaweza kusimamisha Ijumaa humo ?

Kutokana na udogo wa mji huu na uchache wa wakaazi wake naona musali Ijumaa pahala karibu inaposaliwa na msiisali nyinyi peke yenu. Likishindikana hilo kutokana na umbali wa pahala hapo basi nyinyi mumesameheka na salini adhuhuri. Na Allah anajua zaidi.

Said Al Habsy

Website: https://www.ibadhi.com Email Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona.
Add comment