Ibadhi.com

Eneo letu liko umbali wa kilomita 14 kutoka Msikiti wa Ijumaa wa wilaya ya Saham, je tunalazimika kisharia kutekeleza sala ya Ijumaa katika wilaya hiyo?

Eneo letu liko umbali wa kilomita 14 kutoka Msikiti wa Ijumaa wa wilaya ya Saham, je tunalazimika kisharia kutekeleza sala ya Ijumaa katika wilaya hiyo?

Ikijulikana kuwa sala ya Ijumaa haisimamishwi katika mji wetu.Inaendewa Ijumaa kutoka farsakhi mbili na tatu kama alivyosema Jabir –Allah amrehemu. Na Allah anajua zaidi.

Said Al Habsy

Website: https://www.ibadhi.com Email Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona.
Add comment