Ibadhi.com

Sala ya Ijumaa imekithiri kusaliwa zaidi ya pahala pamoja katika kila wilaya, nini hukumu ya hilo ?

Sala ya Ijumaa imekithiri kusaliwa zaidi ya pahala pamoja katika kila wilaya, nini hukumu ya hilo ?

Kusimamishwa Ijumaa katika kila wilaya ni jambo zuri kutokana na yanayopatikana humo ya kujumuisha watu katika dhikri ya Allah, na kuamrisha mema na kukataza maovu, na udugu wa watu kuimarika chini ya amri za Allah Subhana Wataala. Na Allah anajua zaidi.

Said Al Habsy

Website: https://www.ibadhi.com Email Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona.
Add comment