Ibadhi.com

umaa husimamishwa katika msikiti mkubwa unaojumuisha, kwasababu kusudio la Ijumaa ni kujumuisha watu na kudhihirisha wingi wa Waislamu

Na katika fatwa nyengine iliyofanana amejibu Mstahiwa Sheikh : Ijumaa husimamishwa katika msikiti mkubwa unaojumuisha, kwasababu kusudio la Ijumaa ni kujumuisha watu na kudhihirisha wingi wa Waislamu, na kuonesha umoja wao, na kulinyanyua neno lao, na bila shaka msikiti mkubwa unaojumuisha watu ni aula kwa hayo. Na Allah anajua zaidi.

Said Al Habsy

Website: https://www.ibadhi.com Email Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona.
Add comment