Ibadhi.com

KURUDIA SALA NA KUILIPA : 11

Yule ambaye umempitia muda naye anasali akiwa amerefusha nguo yake kwa kutokujua hukumu ya kurefusha nguo, je inamlazimu kuzilipa sala hizo?Ikiwa hakukusudia kurefusha nguo katika muda uliopita –pamoja na kuwa anajua hukumu yake- inamlazimu kutubu kwa Allah, na toba itafuta maasi yake hayo na haimwajibikii kulipa kukhusu yaliyopita. Na Allah anajua zaidi.

Said Al Habsy

Website: https://www.ibadhi.com Email Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona.
Add comment