Ibadhi.com

KURUDIA SALA NA KUILIPA : 10

Yule ambaye amesikia kauli inayosema kuwa kurefusha nguo chini ya vifundo vya miguu ni haramu, lakini hakuwa na hakika juu ya usahihi wa hilo kwa kutokujua dalili, lilipombainikia hilo akaacha kurefusha nguo, je inamlazimu kulipa sala zake zilizopita?Ikiwa ametubu toba ya kweli basi Allah atamtakabalia akiwa haendelei kurefusha nguo pamoja na kuwa hoja ya hukumu yake imemfikia, na Allah ni Mwingi wa kusamehe. Na Allah anajua zaidi.

Said Al Habsy

Website: https://www.ibadhi.com Email Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona.
Add comment