Ibadhi.com

KURUDIA SALA NA KUILIPA : 8

Nini kauli yenu kukhusu mwanamke ambaye hakusali katika uhai wake isipokuwa akichanganya baina ya sala mbili, sawa akiwa nyumbani au safarini, nini kinamlazimu?Inamlazimu atimize sala ya ukaazi, na sala alizozisali kwa kufupisha kati ya fardhi za ukaazi inamlazimu azilipe kwa kutimiza. Na Allah anajua zaidi.

Said Al Habsy

Website: https://www.ibadhi.com Email Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona.
Add comment