Ibadhi.com

KURUDIA SALA NA KUILIPA : 6

Nini kauli yenu kukhusu kulipa rakaa mbili za sunna ya alfajiri, je inamwajibikia ambaye zimemfutu kuzilipa, na wakati gani inawajibika kuzilipa?Kwa kuwa sunna hii katika asli yake si wajibu lakini imehimizwa basi na kuilipa pia kumehimizwa si wajibu. Na inajuzu kuilipa baada ya fardhi na baada ya kuchomoza jua. Na Allah anajua zaidi.

Said Al Habsy

Website: https://www.ibadhi.com Email Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona.
Add comment