Ibadhi.com

KURUDIA SALA NA KUILIPA : 5

Nini kauli yenu kukhusu mwenye kuakhirisha sala mpaka wakati wake ukesha?Inamlazimu kutubu na kulipa, na khilafu kukhusu kafara; na kwa kauli inayoiwajibisha kafara ni kumpa uhuru mtumwa au kufunga miezi miwili mfululizo au kulisha maskini sitini. Na Allah anajua zaidi.

Said Al Habsy

Website: https://www.ibadhi.com Email Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona.
Add comment