Ibadhi.com

KURUDIA SALA NA KUILIPA : 2

Nililala usingizi mzito mpaka wakati wa sala ya alasiri ukapita, nikaamka wakati wa sala ya magharibi, nikaitanguliza magharibi na kuakhirisha alasiri mpaka baada yake. Je nimesibu katika hilo, na je inanilazimu kuirudia sala ya alasiri katika siku ya pili?Ilikuwa aula usali alasiri kisha magharibi, lakini kwa vile wewe umetanguliza magharibi kisha umesali alasiri tunamuomba Allah akukubalie, na hakuna haja ya kuisali sala hiyo siku inayofuata, bali inasaliwa baada ya kuamka. Na Allah anajua zaidi.

Said Al Habsy

Website: https://www.ibadhi.com Email Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona.
Add comment