Ibadhi.com

KUTIMIZA USICHODIRIKI KATIKA SALA: 19

Ikiwa maamuma amemdiriki imamu katika sala ya magharibi kwa mfano – wakati imamu ameshamtangulia kwa rakaa moja, mara ngapi anasoma tashahudi katika hali hii?Kwa kauli ya wingi wa watu wetu anasoma tashahudi mara mbili, na kwa kauli ya watu wa madhehebu nyengine anasoma mara ya tatu kabla ya kutoa salamu baada ya kulipa. Na Allah anajua zaidi.

Said Al Habsy

Website: https://www.ibadhi.com Email Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona.
Add comment