Ibadhi.com

KUTIMIZA USICHODIRIKI KATIKA SALA: 16

Nikiingia msikitini nikakuta jamaa inasaliwa, je nisome tawjihi kwanza au niingie kwa takbira ya ihramu moja kwa moja?Soma tawjihi walau katika hali ya kuwa unakwenda, ukifika kwenye safu tamka takbira ya ihramu, kisha sali ulichodiriki kwa imamu, akitoa salamu inuka ulipe kilicho kufutu kwa imamu kuanzia baada ya takbira ya ihramu. Na Allah anajua zaidi.

Said Al Habsy

Website: https://www.ibadhi.com Email Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona.
Add comment