Ibadhi.com

KUTIMIZA USICHODIRIKI KATIKA SALA: 15

Mstahiwa Sheikh amejibu suali kama hilo pia vifuatavyo:Hakubaliwi udhuru Muislamu katika kuto kujiuga na imamu ikiwa amemtangulia katika sala, kutokana na kauli yake –rehma za Allah na amani zimshukie- "Mlichodiriki salini na kilicho kufutuni lipeni", na katika riwaya nyengine "timizeni"; na amri humaanisha uwajibikaji isipoondolewa kwenye maana hiyo na ishara maalumu. Asiyejua hilo anapaswa ajifunze. Hata hivyo kulipa kilichofutu hakuna kanuni za kipekee zaidi ya yaliyooneshwa na hadithi iliyotajwa. Na Allah anajua zaidi.

Said Al Habsy

Website: https://www.ibadhi.com Email Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona.
Add comment