Ibadhi.com

KUTIMIZA USICHODIRIKI KATIKA SALA: 13

Katika kujibu suali jengine mfano wa hili kasema Mstahiwa Sheikh:Inamlazimu amvute mmoja kati ya wanaosali kutoka nchani mwa safu ili apange safu naye, na asianze safu peke yake. Na Allah anajua zaidi.

Said Al Habsy

Website: https://www.ibadhi.com Email Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona.
Add comment