Ibadhi.com

KUTIMIZA USICHODIRIKI KATIKA SALA: 10

Na amejibu Mstahiwa Sheikh suali jengine kama hili kwa yafuatayo: Wakiwa msikitini anaweza kumsukuma imamu ili aende mbele kwenye mihrabu, na anaweza kumvuta maamuma nyuma aliko yeye. Na Allah anajua zaidi.

Said Al Habsy

Website: https://www.ibadhi.com Email Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona.
Add comment