Logo
Print this page

KUTIMIZA USICHODIRIKI KATIKA SALA: 6

Nini afanye anayemdiriki imamu mwanzo wa kusoma sura baada ya alfaatiha?Anayemdiriki imamu katika kusoma sura asikilize kisomo chake, na alipe alfaatiha baadae. Na Allah anajua zaidi.

Said Al Habsy

Website: https://www.ibadhi.com Email Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona.
All Rights Reserved.