Ibadhi.com

KUTIMIZA USICHODIRIKI KATIKA SALA: 4

Nini aseme Muislamu anapodiriki sala kwa imamu wakati imeshamfutu rakaa moja au zaidi?Anuie kusali alichokiwahi katika sala ya imamu na kulipa kilichomfutu. Imamu akitoa salamu asiyediriki mwanzo wa sala atainuka na kusali kilichomfutu mpaka pale alipomwahi imamu. Na Allah anajua zaidi.

Said Al Habsy

Website: https://www.ibadhi.com Email Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona.
Add comment