Ibadhi.com

KUTIMIZA USICHODIRIKI KATIKA SALA: 3

Nini hukumu ya sala ya maamuma ikimfutu alfaatiha kwa imamu na hakuisoma bali hakuilipa baada ya imamu kutoa salamu, kwa kuwa kuna wanaosema kwamba imamu humbebea maamuma wajibu wa kusoma alfaatiha?Kusoma alfaatiha ni lazima kwa wote, na hana udhuru wa kuto kuisoma maamuma wala mwenginewe na sala haisihi bila kuisoma. Na Allah anajua zaidi.

Said Al Habsy

Website: https://www.ibadhi.com Email Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona.
Add comment