Ibadhi.com

ISTIADHA NA KUSIMAMA KWA SALA: 3

Nini kauli yenu kukhusu mtu anayesali kwa kukaa katikati ya safu hali ya kuwa anaweza kwenda masafa ya kilomita tatu, je inamjuzia hivyo?

 

Hasali kwa kukaa ila anayeshindwa kusimama, kwani kusimama ni katika nguzo za sala haiachwi ila kwa kushindwa kuitekeleza, na mwenye kwenda masafa hayo hashindwi kusimama kwa ajili ya sala na kwa hiyo haikubaliwi sala yake kwa kukaa. Na Allah anajua zaidi.

Said Al Habsy

Website: https://www.ibadhi.com Email Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona.
Add comment