Ibadhi.com

5. SIFA ZISIZOWEZEKANA KUSIFIKA NAZO ALLAH MTUKUFU

Haiwezekani kusifika Allah mtukufu kwa sifa yoyote isiyokubaliana na ukamilifu wake wa kidhati, basi ametakasika Allah mtukufu na uwezekano wa kusifika kwa sifa yoyote iliyo kinyume cha sifa zake za lazima kidhati, basi haiwezekani kusifika Allah mtukufu kwa sifa hizi zifuatazo:

 1. kukosekana
 2. kuanza.
 3. kumalizika.
 4. mauti.
 5. kulazimishwa.
 6. kushindwa.
 7. ujinga.
 8. upofu.
 9. uziwi.
 10. uwingi.
 11. kuhitaji.
 12. kufanana na viumbe.
Sh. Hafidh Al-Sawafi

Website: ibadhi.com Email Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona.
Add comment