Ibadhi.com

29. KUHUSU USO (الوجه)

 

873. Jaabir bin Zayd kasema, "Ibn Abbas (R.A.A.) aliulizwa kutokana na kauli ya Allah, "

{وَيَبْقَى وَجْهُ رَبِّكَ ذُو الْجَلاَلِ وَالاِكْرَامِ}[1]

Maana yake, "{Inabaki dhati ya Mola wako Mwenye utukufu na heshima}".

Ibn Abbas (R.A.A.) akajibu akasema, "Kila kitu kitatoweka, na kubakia Allah peke Yake” na pia kasema Dhihaak, na Mujahiid, na Anas bin Maalik.[1] Surat Arrah`man aya ya 27.

Sh. Hafidh Al-Sawafi

Website: ibadhi.com Email Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona.
Add comment