Ibadhi.com

MAJI

Maji ndio kitu maarufu kinachotumika ili kuondolea najasa na kutoharishia. Wanavyuoni wameyagawa maji katika sehemu tatu na kila aina moja wameiwekea hukumu zake, kama ifuatavyo:

1. Maji ya asili (Tahuur).

2. Maji tohara (Taahir).

3. Maji yaliyo najisika.

Sh. Hafidh Al-Sawafi

Website: ibadhi.com Email Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona.
Add comment