Ibadhi.com

YANAYOKATAZWA WAKATI WA HEDHI NA NIFASI

Tambua Ewe Ewanafunzi, Allah akurehemu kuwa kuna mambo yanakatazwa kufanywa na Mwenye-hedhi na Mwenye-ujusi (nifasi), mambo hayo ni haya yafuatayo:

1.     Kushika Msahafu.

2.    Kusoma Qur-an.

3.    Kuingia Msikitini.

4.    Kusali.

5.    Kutufu.

6.    Jimai (Maingiliano).

Sh. Hafidh Al-Sawafi

Website: ibadhi.com Email Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona.
Add comment