Ibadhi.com

SIKU ZA NIFASI

Tambua Ewe Mwanafunzi, Allah akurehemu kuwa uchache wa Damu ya Nifasi ni siku Kumi, na wingi wake ni siku arubaini, ikizidi damu hiyo zaidi ya siku 40 itakuwa ni damu ya-istihadha, haimuzui mtu kusali wala kufunga, wala kusoma Qur-ani, n.k.

Sh. Hafidh Al-Sawafi

Website: ibadhi.com Email Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona.
Add comment