Ibadhi.com

ALAMA ZA KUTOHARIKA

Alama za kupata tohara ya hedhi ni mbili, nazo ni hizi zifuatazo:


1. Kutokwa na maji meupe (Qa'ssatul-baidhaa).

2. Ukavu katika utupu wa mbele.

Sh. Hafidh Al-Sawafi

Website: ibadhi.com Email Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona.
Add comment