Ibadhi.com

HUKMU ZA MUSTAHADHA

Atakaeyepata damu ya Istihadha, hedhi yake itakuwa kwa muda wa siku kumi tu, siku ya kumi na moja anahesabiwa kuwa ashaingia katika tohara yake, kwa hivyo ataruhusiwa kufanya yote anayoruhusiwa kufanya aliekuwa hana-hedhi, kama kusoma Qur-ani, kushika Msahafu, kuingia Msikitini na mengineyo.

----------------------------------------------------------------------

N.B: Ispokuwa huyu Mustahadhaa atatakiwa atie udhu kwa kila sala, hata hivyo kutokana na dhiki anayoipata anaruhusiwa kuchanganya sala, Adhuhuri na Laasiri akazisali pamoja rakaa nne-nne, na Magharibi na Ishaa pamoja rakaa tatu-nne, Wallaahu-A'alam.

Sh. Hafidh Al-Sawafi

Website: ibadhi.com Email Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona.
Add comment