Ibadhi.com

DAMU YA HEDHI

Damu ya hedhi inakuwa na sifa tatu takriban, nazo ni hizi zifuatazo:

1. Inakuwa nyekundu sana.

2. Inakuwa nzito.

3. Inakuwa na harufu mbaya.

 

Sh. Hafidh Al-Sawafi

Website: ibadhi.com Email Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona.
Add comment