Ibadhi.com

116:KUMUOA MTOTO WA BINAMU KWA MAMA MKUBWA

KUMUOA MTOTO WA BINAMU KWA MAMA MKUBWA.
 
Asalam Aleykum..
Napenda kuuliza inajuzu kumuowa mtoto wa binamu yako kwa mama mkubwa.
Naomba nijibiwe
 
Shukran
Aziz Hamed Al Hatmi
 
JAWABU:
Waalykum salaam warahmatullah wabarakatuh.
Naam inajuzu, Maadam hakuna kingine chochote kizuiacho kama kunyonya pamoja n.k.
Wallahu aalam.
 
Khamis Alghammawy
2 Rabiul awwal 1440h.
Said Al Habsy

Website: https://www.ibadhi.com Email Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona.
Add comment