Ibadhi.com

41.SALA KABLA NA BAADA YA KULALA.

 

Nasra Thomas from 

Tanzania
--------------------------------------
Swali:

Sala kabla na baada ya kulala..

JAWABU:
Sala ya mwisho kabla ya kulala ni Witri, husaliwa rakaa tatu. Rakaa ya mwanzo Alhamdu na Sabbihisma, na Rakaa ya pili Alhamdu na Qulya ayyuha l kaafiruun. Na rakaa ya tatu Alhamdu na Qulhuwallahu.
Inasaliwa kama unavyosali Faridha ya sala ya Magharibi.

Na sala ya mwanzo baada ya kuamka ni Sunnah ya alfajiri, ambazo ni rakaa mbili khafifu, na maana ya khafifu yaani husomwa kwa kisomo kifupi sio kirefu.

Wallahu aalam.

Ameyaandika mja dhaifu
Khamis binYahya Alghammawi
Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona.
10 May 2017

 

Said Al Habsy

Website: https://www.ibadhi.com Email Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona.
Add comment