Print this page

018: Nnaomba unitajiye mambo yasiyoharibu au kutengua funga ❓

Written by

SWALI

Shekh, naomba unitajiye mambo yasiyoharibu au kutengua funga❓

JAWABU

بِسْم الله الرحمن الرحيم

Naam❗..

Utangulizi.

- Kutokana na uepesi wa dini yetu kuna mambo unaweza kuyafanya bila kuharibika funga yako Kama vile :-

1 - "" kuoga ""

Inajuzu kuoga kwa mwenye kufunga ikiwa asubuhi au mchana au jioni muhimu tu Achukuwe hadhari kutoingia kitu ndani .

2 - "kutia wanja na manukato ""
 Kuunusa harufu za udi au mafuta mazuri haiharibu funga Ila unapaswa usiwe karibu sana na huo udi ili isijekuingia harufu tumboni.

3 - "" kumeza mate""

Read 2400 times
Said Al Habsy

https://www.ibadhi.com | This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it.

Latest from Said Al Habsy

FaLang translation system by Faboba