Print this page

017: Naomba unitajiye watu ambao hawalazimiki kufunga wala kulipa wala kutowa kaffara"❓

Written by

SWALI:

Shekh , Naomba unitajiye watu ambao hawalazimiki kufunga wala kulipa wala kutowa kaffara"❓

JAWABU. 
بِسْم الله الرحمن الرحيم

Naam❗.

✒Watu ambao watakaopaswa kulipa na kutowa kaffara ni :-

1. "Mpuzaji wakutokulipa ramadhani iliyopita bila sababu"

-Hukmu yake, Mtu Kama huyu ambaye imeingia ramadhani nyengine bila kulipa deni la nyuma hukmu yake ni atatubia kwa kupuuza kwake wajibu wa kufunga

- Atalipa funga alizoziacha zoote.

- Atalisha kila siku maskini siku aliyeipoteza

2 - Mwenye kuasi na kuvuka mipaka "

✏️ mwenye kuasi hapa amekusudiwa Yule ambaye aliyekwenda kinyume na sheria za funga au akavunja nguzo au shart la funga❗

Kwa mfano :-

❗Mwenye kula au kunywa maksudi.

❗Mwenye kufanya tendo la ndowa mchana.

❗ Mwenye kujitowa Nanii kwa njia yoyote ile .

Hukmu Yao ni - KUtubia na kuomba msamaha.

 

Read 2730 times
Said Al Habsy

https://www.ibadhi.com | This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it.

Latest from Said Al Habsy

FaLang translation system by Faboba